Habari na Matukio

Habari na Matukio (10)

Mgeni rasmi akiwa katika picha ya pamoja na Baadhi ya wafanyakazi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (ZSSF) katika mkutano wa pili wa wadau uliofanyika katika ukumbi wa baraza la wawakilishi la zamani Kikwajuni.

Mh. Maudline Castico  akiwa katika Picha Ya Pamoja na Bodi ya wadhamini ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (ZSSF).

Mheshimiwa Maudline Castico na Mwenyekiti wa bodi ya ZSSF Dk. Suleiman Rashid (kulia) wakimpongeza mchangiaji bora wa Mfuko wa kujichangia kwa  Hiyari (ZVSSS) Bw. Ali Seif Mussa.

Waziri wa kazi, uwezeshaji wazee, vijana, wanawake na watoto Mh. Maudline Cyrus Castico  kushoto akimkabidhi zawadi mchangiaji bora binafsi wa ZSSF Bi. Asha Jecha Ameir.

Afisa mwandamizi masoko na uhusiano wa ZSSF akikabidhi msaada wa madastibini kwa kaimu katibu wa Hospitali ya Mnazi Mmoja

Baadhi ya wafanyakazi wa Hospitali ya Rufaa ya Mnazi Mmoja Zanzibar wakipata maelezo kutoka kwa kaimu katibu wa hospitali hiyo wa saba kushoto kuhusiana na umuhimu wa matumizi ya madastibini hayo

Waziri wa Fedha na Mipango Dkt.Khalid Salum Mohamed akitoa ufafanuzi wa mswada wa sheria ndani ya  Baraza  la   Wawakilishi nje kidogo ya mji wa Zanzibar Mbweni

Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar  Zubeir Ali Maulid akifungua rasmi  Semina iliyoandaliwa na  Mfuko wa Hifadhi ya Jamii  Zanzibar ( ZSSF) kwa Wawakilishi  juu ya mswada wa marekebisho ya sheria  No.2 ya mwaka 2005 ya ZSSF.

Mkurugenzi Mwendeshaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar Abdulwakil Haji Hafidh akiwasilisha  mada juu ya taswira na muelekeo wa ZSSF katika semina kwa wajumbe wa Baraza la Wawakilishi.

Fao Mkurugenzi wa Utafiti, tathimini na Sera wa SSRA Bw. Ansgar Mushi akitoa maelezo kuhusu la kujitoa kwa mwanachama wakati  wa  semina kwa Wajumbe wa Baraza la wawakilishi kuhusu mswada wa marekebisho ya sheria  Nam.2 ya mwaka 2005 ya  ZSSF

Washirika Wetu

        

Mawasiliano

MFUKO WA HIFADHI YA JAMII ZANZIBAR

S.L.P 2716,Kilimani Mnara wa Mbao,

Zanzibar - Tanzania

Simu ya Mezani: +255 24 2230242

Faksi: +255 24 2232820

Barua Pepe: info@zssf.org

Fuatana Nasi!