Miradi

Mradi wa Nyumba - Mbweni

Huu ni mradi wa nyumba za kisasa kwa ajili ya makazi, maofisi, mahoteli na maeneo ya burudani!

Bustani ya Michezo - Uhuru, Kariakoo

Bustani hii ya michezo mbalimbali hususani kwa watoto. Bustani hii ina kila aina ya pembea ziendeshwazo kwa umeme, na hivyo kuwa kituo kizuri cha michezo ya aina hiyo!

Washirika Wetu

        

Mawasiliano

MFUKO WA HIFADHI YA JAMII ZANZIBAR

S.L.P 2716,Kilimani Mnara wa Mbao,

Zanzibar - Tanzania

Simu ya Mezani: +255 24 2230242

Faksi: +255 24 2232820

Barua Pepe: info@zssf.org

Fuatana Nasi!